Uncategorized

Bandari ya nne kwa ukubwa afrika kupewa kampuni tata ya dubai

Na. Mch. Dkt. Peter Bujari bujari@peterbujari.com. June 13, 2023 “Bandari aliyoanzisha Sultani Majidi Bin Said wa Zanzibar mwaka 1862 hatimaye yapewa Ahmed Mahboob Musabin”. Kwa mujibu wa umoja wa bandari wa kimataifa, bandari ya Dar Es Salaam ni ya nne kwa ukubwa katika bara la Afrika, ikitanguliwa na Durban, Mombasa na Maputo. Kwa mujibu wa […]

Bandari ya nne kwa ukubwa afrika kupewa kampuni tata ya dubai Read More »

Wanaoongoza wasipofanya wajibu wao wananchi watajifunza wapi?

Dar Es Salaam. Novemba 13, 2022.  Mch. Dkt. Peter Bujari Ni jioni ya jumapili mchana nikiwa jijini Accra nchini Ghana, tarehe 6 Novemba nikijiandaa kuwasilisha mada kwenye mkutano wa kimataifa unaojadili maswala ya uwekezaji katika Sekta ya afya  hususani huduma za Mama na mtoto. Mada yangu ilikuwa namna Tanzania inavyofanya vizuri katika ufadhiri wa sekta

Wanaoongoza wasipofanya wajibu wao wananchi watajifunza wapi? Read More »

Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print May 18, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari “Nimekuja Kenya kukazia yaliyolegalega na kunyoosha yaliyopinda” alisema Raisi Samia katika hotuba yake kwenye bunge la Kenya May 3, 2021 Kwa mujibu wa Raisi wa Kenya, biashara kati ya Tanzania na Kenya mwaka

Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi Read More »

Hongera Rais Samia kusimamia bima ya afya kwa watu wote tulichelewa wapi?

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print Dar Es Salaam. May 3, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari March 2019 nilimwandikia barua ya wazi (kupitia gazeti la Mwananchi) Raisi wa Tanzania wakati huo Hayati John Pombe Magufuri kumshauri kuichukua agenda ya huduma za afya kwa wote na kuwahimiza

Hongera Rais Samia kusimamia bima ya afya kwa watu wote tulichelewa wapi? Read More »

Tusipo vipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, Nani avipongeze?

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print April 29th, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari Nimekuwa nasikia moyoni mwangu ile sauti ya Hayati JPM ikisema “Hii ni vita ya uchumi” na mara kadhaa nimeona watu wanabeza usemi ule. Pamoja na kwamba  wanazo sababu zao za kubeza, na sitaki

Tusipo vipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, Nani avipongeze? Read More »