David Shaban

IT expert

Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print May 18, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari “Nimekuja Kenya kukazia yaliyolegalega na kunyoosha yaliyopinda” alisema Raisi Samia katika hotuba yake kwenye bunge la Kenya May 3, 2021 Kwa mujibu wa Raisi wa Kenya, biashara kati ya Tanzania na Kenya mwaka

Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi Read More »

Hongera Rais Samia kusimamia bima ya afya kwa watu wote tulichelewa wapi?

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print Dar Es Salaam. May 3, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari March 2019 nilimwandikia barua ya wazi (kupitia gazeti la Mwananchi) Raisi wa Tanzania wakati huo Hayati John Pombe Magufuri kumshauri kuichukua agenda ya huduma za afya kwa wote na kuwahimiza

Hongera Rais Samia kusimamia bima ya afya kwa watu wote tulichelewa wapi? Read More »

Tusipo vipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, Nani avipongeze?

Share on facebook Share on twitter Share on linkedin Share on whatsapp Share on print April 29th, 2021. Mch. Dkt. Peter Bujari Nimekuwa nasikia moyoni mwangu ile sauti ya Hayati JPM ikisema “Hii ni vita ya uchumi” na mara kadhaa nimeona watu wanabeza usemi ule. Pamoja na kwamba  wanazo sababu zao za kubeza, na sitaki

Tusipo vipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, Nani avipongeze? Read More »