Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on print

Nimekuja Kenya kukazia yaliyolegalega na kunyoosha yaliyopinda” alisema Raisi Samia katika hotuba yake kwenye bunge la Kenya May 3, 2021

Kwa mujibu wa Raisi wa Kenya, biashara kati ya Tanzania na Kenya mwaka 2012 ilikuwa Billioni 60.4 Ksh na kupungua mpaka billioni 47.5 mwaka 2017/18 ikiashiria kuzorota kwa mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya. Raisi wa Tanzania alisema kuwa 

Kenya ni nchi ya kwanza kwa uwekezaji hapa Tanzania katika Afrika, na ya tano kati ya wawekezaji wote. Takwimu hizi zinatuonyesha kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Kenya ni wa Kimkakati na hivyo si wa kupuuzwa. Wataalamu wa uongozi wenye tija, wameupa uwezo wa kiongozi kutengeneza mahusiano kipaumbele. Ni kwa sababu hii nimeamua kuchambua ziara ya Raisi Samia nchini Kenya.

Katika ziara yake Raisi alifanya mazungumzo na makundi matatu muhimu katika Nyanja za mahusiano ya kijamii, diplomasia na uchumi. Raisi Samia  aliongea na raisi wa Kenya na wasaidizi wake kwa maana ya Serikali, kisha akaongea na wanasiasa (Bunge la seneti na bunge la taifa) na kisha akaongea na wafanyabiashara kwa maana ya sekta binafsi. Haya ndiyo maeneo muhumi yanayoweza kuharibu ama kujenga mahusiano kati ya nchi na nchi. Akiongea na bunge la Kenya Raisi Samia alisema kuwa hatima ya Tanzania na Kenya imefungamana, hivyo Kenya ikiwa salama, Tanzania iko salama. Raisi Samia alisisitiza kuwa watu wanaodhani kuwa kufanikiwa kwa upande mmoja ni kuangusha upande mwingine hawakuwa sahihi kabisa na hivyoinawapasa kubadili mtazamo wao.

Akihutubia sekta binafsi mjini Nairobi, raisi wa Kenya alisema kuna umuhimu wa kushirikiana badala ya kushindana na akaelekeza kuwa wananchi wa Tanzania wakiingia Kenya hawatahitaji viza za kibiashara wala vibali vya kufanya kazi (Business permit and work permit). Huu ni mwanzo wa mahisiano bora yanayopaswa kulindwa. Raisi Uhuru akaaziga ndani ya wiki mbili mizigo yote iliyokuwa imekwama mipakani iruhusiwe kuendelea na safari. Kwa upande wake raisi Samia aliahidi kuboresha mazingira ya biashara kwa kuweka mfumo wa dirisha moja lenye kutoa huduma zote Pamoja na kuondoa kodi na tozo zisizotabirika na kurudisha Imani ya wawekezaji.

Elimu ya uongozi wenye tija (High Impact Leadership) hutuonyesha kuwa kiongozi mwenye tija hufanikiwa kwa kufanya kazi na wengine tena wenye mtazamo tofauti nay eye. Kujenga ubia (networking) hupelekea kujifunza na kuongeza ubunifu. Profesa Herminia Ibarra mtaalamu wa maswala ya kitaasisi wa chuo cha biashara cha London alisema kuwa kutothamini na kufanyakazi na wadau ni kuchagua kushindwa. Profesa Herminia anasema kuwa kujenga ubia/mtandao (networking) ni ngumu hasa kwa wanawake kitu ambacho kinanipa ujasili wa kumpongeza Raisi Samia Suluhu kwa kufanya ziara hii ya kihistoria mwezi mmoja baada ya kushika madaraka. Ushirika humwezesha kiongozi kupata taarifa na watu wanaoweza kumsaidia kubainisha matatizo na namna ya kuyatatua. Kwa upande mwingine kiongozi asiye na mtandao na aliyezungukwa na wanaowaza kama yeye, hufikilia katika mtazamo mmoja bila kupata mawazo mbadala tofauti na ya kwake.

Nipe mawazo yako kupitia successadvisor@peterbujari.com

250 thoughts on “Ziara ya mh. Samia Suluhu Kenya ni ya kimkakati- mtazamo wa kiuongozi”

  1. Wayles Juvenary

    Naomba kuungana na wewe Mchungaji Dr Peter Bujari, kwa upande wangu nina imani ya kutosha na uongozi huu kwamba tunakwenda katika hatua nzuri si, tu ya uwekezaji bali nyanja nyingi muhimu zimeguswa kwa uongozi wake. tujipe moyo na muda utaongea

    1. Peter Bujari MD

      Wayles nashukuru kwa maoni yako. Kwa ujumla tumeanza vizuri. Nitashauri zaidi baadae namna ya kuangalia mbali zaidi tofauti na tunavyoangalia sasa. Nakutakia kazi njema

  2. Lucy Kilowoko

    Nikiwa kama kiongozi mmojawapo katika serikali ya awamu hii ya 6. kwanza niseme uchambuzi huu umebeba umahiri na taswira ya muelekeo wa kimafanikio kwa nchi yetu, sitaki niseme tulipotoka juzi palikuwaje! ila nataka niongee kwa kutumia maneno haya kwamba hapa tulipo tuna matumaini ya kuinuka tena. mwisho nimalizie kusema wamama tunaweza.

    1. Peter Bujari MD

      Dada Lucy: Naamini kuwa uwezo wa mtu haujalishi jinsi yake, hivyo ubora wa mtu hutegemea na yeye mwenyewe siyo jinsi. Mtangazaji wa Mlimani TV aliniuliza je Mama ataweza ikiwa si mkali? Nikajibu kuwa ukali si kupayuka, bali kuelekeza kwa usahihi na kusimamia kile unachokisema. Mara nyingi viongozi hujichanganya, wanasema hili, wanafanya tofauti. NItafundisha baadae kuhusu Authentic leadership. Mwisho nikutakie mafanikio katika kazi yako

      1. Mussa Ramadhani

        Kwa Article hii ni dhahiri hata sisi upande wa sekta binafsi tunaanza kuona imani kwa serikali hii, pia juhudi hizi zinaweza kuwa ishara ya kukuza uhusiano wa kimataifa na kuyapa mashirika binafsi mwanya wa kuandaa na kutekeleza miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika kusaidia jamii, kwa kushirikiana na yale mashirika ya kimataifa.

        1. Peter Bujari MD

          Bwana Mussa: Nashukuru kwa maoni yako. Kiongozi mwenye tija huwaamini watu wengine na kuona thamani yao. Ukiona kiongozi hawaamini watu wake, ujue kuna tatizo kubwa. Nadhani tumepita kipindi ambacho Sekta binafsi haikuaminika kabisa, kila mtu anaonekana mwizi. Hii inaua morali na ubunifu. Naona awamu hii, matumaini yanarudi. Barikiwa

  3. Uzi huu umenitia moyo wa kuona mwanga mbele, Maoni yangu ni haya! kwanza nimefuatilia makala zako zote Daktari Bujari na nikupongeze kwa uzalendo na hatua nzuri ya kuyaangazia mema yanayofanyika katika taifa letu. kwa ujumla serikali inapaswa kuwatazama wazalendo kama wewe ili kuwapa kipaumbele katika nyadhifa za kiuongozi. tayari Nimehisajili katika taasisi yako na niko tayari nasubiri utaratibu wa kuanza courses. Asante sana

    Mwl Abdul Issa Arusha Tanzania.

    1. Peter Bujari MD

      Mwalimu Abdul: Nashukuru sana ndugu yangu kwa maoni yako. Tutasimama kwenye taaluma siyo mihemko kusema ukweli na kushauri kwa hekima namna bora ya kujenga nchi yetu.

  4. Joel Mwakyoma

    Mimi bado nilikuwa sina imani na huyu mama. Wakati mwingine nikajisemea kwamba kufungua safari za nje ya nchi kwa rais ni moja kati ya ubadhirifu wa fedha za umma ambao mtangulizi wake aliukataa!! labda nianze kushawishika sasa na kupata imani juu ya uongozi wake kupitia makala hii.

    1. Peter Bujari MD

      Bwana Joel: Asante kwa maoni yako. Kuna mambo mazuri kwenye awamu ya sita, kama yaliyokuwepo katika awamu ya tano. Kuna madhaifu pia ambayo ni wajibu wetu kusaidia Serikali yetu. Hata hivyo, nikusaidie kuwa ubadhilifu haufanyiki nje ya nchi tu, hata hapa hapa unafanyika. Katika mtazamo wa uongozi wenye tija, kujenga mtandao ni silaha kubwa sana.

  5. Asante sana Dkt Peter Bujari kwa makala hii inayo vutia na kuiongezea sifa serikali ya awamu ya 6. Lakini mimi kwa mtazamo wangu naona awamu hii inafata utaratibu wa awamu ya nne na kitu kibaya ama kizuri sijui yapi madhara au faida za kufuata utaratibu ule, lakini kwa kuwa ninyi wasomi mmekubaliana na mwenendo huu basi ngoja tupige moyo konde tuone mbele.

    1. Peter Bujari MD

      Bwana Fabian: Asante kwa maoni yako. Kuna ukweli kwenye maoni yako. Ni ukweli usiofichika kuwa kuna madhaifu ya kila utawala, hakuna utawala uliokuwa sahihi kwa asilimia 100. Hata huu wa awamu ya sita, kuna mazuri na madhaifu pia. Lengo langu ni kusifia mazuri, kushauri ili kusaidia nchi yangu. Naamini tutasonga mbele

  6. Bernard Munuo

    Mkuu Asante sana kwa uandishi wako makini na hongera kwa juhudi wa kuleta matokeo chanya kwa viongozi wetu na mimi nipo tayari kujifunza kwako.

    1. Peter Bujari MD

      Salaam Bwana Mnuo: Asante kwa maoni yako. Tunaandaa mifumo na masomo. Tutakapokuwa tayari, tutawajulisha. Asante na endelea kufuatilia makala na masomo na share na rafiki zako pia

  7. Kumbuka Daniel

    Nimesoma kwa utulivu mkubwa hii makala naona mwelekeo wetu kama taifa utakuwa mzuri siku za usoni, labda nina wasiwasi mkubwa kuhusu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa na mwendazake wasiwasi wangu ni kama ina tija au haina tija kwa sasa na je itaendelezwa au lah!

    1. Peter Bujari MD

      Bwana Kumbuka Daniel: Asante kwa maoni yako. Kuhusu miradi aliyoanzisha, kuna ambayo tunaona inaendelea na ni ya matumaini. Mfano Mradi wa umeme wa maji ( Stiglers Gorge) na mradi wa treni ya umeme (SGL). Pengine ni muhimu kuendelea kuhimiza serikali kwenye mambo tunayoyaona ni ya msiingi. Tafadhari endelea kufuailia makala zijazo

  8. Its like you read my mind You appear to know a lot about this like you wrote the book in it or something I think that you could do with some pics to drive the message home a little bit but instead of that this is fantastic blog An excellent read I will certainly be back

  9. Профессиональный сервисный центр по ремонту бытовой техники с выездом на дом.
    Мы предлагаем: ремонт крупногабаритной техники в москве
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  10. Bwer Company is a top supplier of weighbridge truck scales in Iraq, providing a complete range of solutions for accurate vehicle load measurement. Their services cover every aspect of truck scales, from truck scale installation and maintenance to calibration and repair. Bwer Company offers commercial truck scales, industrial truck scales, and axle weighbridge systems, tailored to meet the demands of heavy-duty applications. Bwer Company’s electronic truck scales and digital truck scales incorporate advanced technology, ensuring precise and reliable measurements. Their heavy-duty truck scales are engineered for rugged environments, making them suitable for industries such as logistics, agriculture, and construction. Whether you’re looking for truck scales for sale, rental, or lease, Bwer Company provides flexible options to match your needs, including truck scale parts, accessories, and software for enhanced performance. As trusted truck scale manufacturers, Bwer Company offers certified truck scale calibration services, ensuring compliance with industry standards. Their services include truck scale inspection, certification, and repair services, supporting the long-term reliability of your truck scale systems. With a team of experts, Bwer Company ensures seamless truck scale installation and maintenance, keeping your operations running smoothly. For more information on truck scale prices, installation costs, or to learn about their range of weighbridge truck scales and other products, visit Bwer Company’s website at bwerpipes.com.

  11. Keep up the fantastic work! Kalorifer Sobası odun, kömür, pelet gibi yakıtlarla çalışan ve ısıtma işlevi gören bir soba türüdür. Kalorifer Sobası içindeki yakıtın yanmasıyla oluşan ısıyı doğrudan çevresine yayar ve aynı zamanda suyun ısınmasını sağlar.

  12. Keep up the fantastic work! Kalorifer Sobası odun, kömür, pelet gibi yakıtlarla çalışan ve ısıtma işlevi gören bir soba türüdür. Kalorifer Sobası içindeki yakıtın yanmasıyla oluşan ısıyı doğrudan çevresine yayar ve aynı zamanda suyun ısınmasını sağlar.

  13. Do you have a spam issue on this website; I also am a blogger, and I was wondering your situation; we have developed some nice procedures and we are looking to
    swap solutions with others, please shoot me an e-mail if interested.

  14. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали сервисный центр xiaomi, можете посмотреть на сайте: официальный сервисный центр xiaomi
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  15. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали сервисный центр sony, можете посмотреть на сайте: официальный сервисный центр sony
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  16. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали официальный сервисный центр philips, можете посмотреть на сайте: официальный сервисный центр philips
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  17. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали сервисный центр asus в москве, можете посмотреть на сайте: сервисный центр asus адреса
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  18. капельница при алкогольной интоксикации на дому цена [url=klin.0pk.me/viewtopic.php?id=4414]капельница при алкогольной интоксикации на дому цена[/url] .

  19. Тактичные штаны: идеальный выбор для стильных мужчин, как сочетать их с другой одеждой.
    Секрет комфорта в тактичных штанах, которые подчеркнут ваш стиль и индивидуальность.
    Как найти идеальные тактичные штаны, который подчеркнет вашу уверенность и статус.
    Тактичные штаны для активного отдыха: важный элемент гардероба, которые подчеркнут вашу спортивную натуру.
    Советы по выбору тактичных штанов для мужчин, чтобы подчеркнуть свою уникальность и индивидуальность.
    Секрет стильных мужчин: тактичные штаны, которые подчеркнут ваш вкус и качество вашей одежды.
    Тактичные штаны: универсальный выбор для различных ситуаций, которые подчеркнут ваш профессионализм и серьезность.
    тактичні штани літні [url=https://dffrgrgrgdhajshf.com.ua/]тактичні штани літні[/url] .

  20. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали ремонт телевизоров samsung, можете посмотреть на сайте: ремонт телевизоров samsung цены
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

  21. Предлагаем услуги профессиональных инженеров офицальной мастерской.
    Еслли вы искали ремонт телевизоров philips сервис, можете посмотреть на сайте: срочный ремонт телевизоров philips
    Наши мастера оперативно устранят неисправности вашего устройства в сервисе или с выездом на дом!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *