Bandari ya nne kwa ukubwa afrika kupewa kampuni tata ya dubai
Na. Mch. Dkt. Peter Bujari bujari@peterbujari.com. June 13, 2023 “Bandari aliyoanzisha Sultani Majidi Bin Said wa Zanzibar mwaka 1862 hatimaye yapewa Ahmed Mahboob Musabin”. Kwa mujibu wa umoja wa bandari wa kimataifa, bandari ya Dar Es Salaam ni ya nne kwa ukubwa katika bara la Afrika, ikitanguliwa na Durban, Mombasa na Maputo. Kwa mujibu wa […]
Bandari ya nne kwa ukubwa afrika kupewa kampuni tata ya dubai Read More »