Wanaoongoza wasipofanya wajibu wao wananchi watajifunza wapi?

Dar Es Salaam. Novemba 13, 2022.  Mch. Dkt. Peter Bujari Ni jioni ya jumapili mchana nikiwa jijini Accra nchini Ghana, tarehe 6 Novemba nikijiandaa kuwasilisha mada kwenye mkutano wa kimataifa unaojadili maswala ya uwekezaji katika Sekta ya afya  hususani huduma za Mama na mtoto. Mada yangu ilikuwa namna Tanzania inavyofanya vizuri katika ufadhiri wa sekta […]

Wanaoongoza wasipofanya wajibu wao wananchi watajifunza wapi? Read More »